ads

Friday, 1 January 2016

New Audio: Mwenendox - Risala kwa Magufuli (Prodyuza Sampamba Music)

Wimbo mpya wa mwanamziki Mwenendox toka Tanzania amemuandikia Risala mheshimiwa Raisi John Pombe Magufuli wimbo huu umetayarishwa katika studio za Sampamba Music zilizopo nchini mkoani Iringa, Tanzania ili kujua ameandika nini ungana nasikuisikiliza.

0 comments:

Post a Comment