ads

Thursday 7 January 2016

BAADHI YA MANENO YANAYOTUMIWA NA WATU KIMAKOSA


1. Kioo cha pembeni au mbavuni mwa gari huitwa SIDE MIRROR  na sio SIGHT/SITE MIRROR 
2. Kifaa cha umeme chenye waya mrefu wa kutokea ukutani chenye matundu kwa  ya vifaa vya umeme  kuwekwa huitwa EXTENSION  na sio CABLE 
3. Tundu la simu linalotumika kupitisha mkondo wa umeme kwenda kwenye betri huitwa CHARGING SYSTEM na sio SYSTEM CHARGE
4. Ukimpigia mtu simu then  ukakata kwa lengo kwamba  akupigie hapo umem-BEEP na sio umem-DIP au ume-DEEP
5. Simu za kisasa zitumiazo mfumo wa kugusa kwenye kizinza (screen) huitwa TOUCHSCREEN au 'Touch' kwa  kifupi na sio SCREEN TOUCH
Ongeza na wewe mengine unayohisi jamii inayatumia kimakosa tuwekane sawa.

0 comments:

Post a Comment