Sunday, 17 May 2015

SI KILA CHAKAVU UNAKITUPA

Na.Moringe Jonasy.
Tumeona na kusikia sehemu mbalimbali kuwa nguo chakavu ndio dekio jipya.
Basi leo nakupa picha ya mtu aliyeamua kutumia ubunuiunifu kupendezesha bustani yake ya maua kwa kutumia Piano iliyoharibika.

Tazama picha hapa chini ,kisha uniandikie ni kitu gani unaweza kukitumia vyema baada ya kuchakaa ama kuharibika na kuufanya uso wa dunia kuwa sehemu ya kuvutia zaidi.

                        Hapo unaweza kuhisi Uchawi umetumika kumbe ubunifu tuu

                                  Bado hujashangaa?

                       Hujaamini uzuri wa huu ubunifu? , subiri.
  hadi hapo utakuwa umeamini kuwa unaweza kukitumia kitu amabacho kwa upande mwingine kinakuwa chakavu ila kwa matumizi mengine ni kipyaa kabisa.

0 comments:

Post a Comment