Na.Moringe Jonasy
Siku hizi kila ukiongelea muziki mzuri lazima video nzuri izungumzwe.
Kama unafuatilia muziki basi utakuwa unajua zama nyingi tangu kipindi ambacho wasanii walikuwa wakitumia video katunu kwenye matamasha mbali mbali hadi zama hizi za video za HD ambazo zimekuwa zikipewa hata vipengele kwenye tunzo mbali mbali za muziki duniani.Kwa hapa nchini nakumbuka video ya wimbo wa Leo alioimba Ay na video ya wimbo mmoja wa Lady Jay Dee zilikuwa ni video za kwanza kushirikishwa kwenye tunzo kubwa za muziki barani Afrika kama zile za Chanel O.
Zifuatazo ni nyimbo kubwa ambazo hazikutendewa haki kwa kukosa video.
1.MPENZI JINI- Z ANTO
Naweza kusema ni wimbo uliotufanya wengi tumfahamu Z - Anto lakini licha ya wimbo huu kuwa mkubwa sana ulikosa video.Kwa matarajio ya wengi walishajitengenezea video kichwani kutokana na wimbo wenyewe ulivyokuwa na simulizi ya kujenga taswira akilini.
Hadi leo najiuliza sababu ya wimbo huu kukosa video.

2.LALA SALAMA -DIAMOND
Naweza kusema ni mwendelezo kama siyo Remix ya wimbo wa nitarejea.Wimbo huu mkubwa ambao hauchuji kila ukipigwa unaonekana kama mpya lakini hadi leo sijui video yake ipo wapi.
3.MY EVERYTHING- ALIKIBA
Licha ya mkali huyu wa muziki wa Bongo kutoa nyimbo nyingi zinazoishi ila bingwa huyu amekuwa bingwa wa kuziacha nyimbo bora zipite bila video.My everything haujapoteza upya lakini ndo hivyo hauna video.
4.MAPENZI-ALIKIBA
Nani hajui kama mapenzi kama yana run dunia? Kama hujui basi utafute wimbo wa mapenzi uliotoka tarehe 14 mwezi wa pili mwaka 2011 miezi michache baada ya mkali huyu kutoka kwenye project ya one 8.
5.UKIMWONA-DIAMOND
Kila mwanamuziki anapenda melody tamu basi atakwambia wimbo huu mkali lakini kitu cha ajabu wimbo huu ulikosa heshima yake kuanzia kutoka kwake kwanza ulivujishwa halafu hauna video.
Nitumie nafasi hii kuwapongeza wakali kama Matonya na Ay ambao wamejitahidi sana kuzipa haki ya video nyimbo zao.
Unasemaje #mwanakalamu mwenzangu

0 comments:
Post a Comment