Na. Steven Mwakyusa
Wasanii wengi wa kike wamepata kutokea, ila kwangu sidhani kama atatokea atakayeweza kumpiku Whitney Houston!!
Whitney aliyezaliwa mwaka 1963, alifariki mwaka 2012 akiwa na miaka 48! Whitney mpaka sasa ndiye anayeshikilia rekodi ya Guiness kwa kupata tuzo nyingi zaidi, WH ndiye msanii aliyeuza rekodi nyingi zaidi na inakadiliwa alifanya mauzo ya rekodi 170-200 million!
Whitney alitamba sana na hizi albums
~Whitney Houston (1985)
~Whitney (1987)
~I'm Your Baby Tonight (1990)
~My Love Is Your Love (1998)
~Just Whitney... (2002)
~One Wish: The Holiday Album (2003)
~I Look to You (2009)
Mpaka anafariki Whitney alipata tuzo zaidi ya 640, huku akipata nomination zaidi ya 730!!
Baadhi ya tuzo alizopata ni pamoja na...
~ American Music Awards-31
~Billboard Music Awards-33
~Emmy Awards- 2
~Grammy Awards-7
~Guinness World Records 15
~NAACP Image Awards -29
~People's Choice Awards-8
~Soul Train Music Awards -12
~World Music Awards-14
Baada ya Whitney wanaofatia ni
2. Mariah Carey
3. Celine Dion
4. Beyonce
5. Christina Aguilera.
0 comments:
Post a Comment