Wednesday, 21 December 2016

NAAM NI WAKATI WA BARAKA DA PRINCE


Na.Mtu Makini
Kuna muda kiwango cha msanii kushirikishwa na wasanii wengine kinaweza kuwa kipimo cha ubora wa msanii husika, hivyo basi wasanii wadogo na wakubwa huwa wanaamini wanaweza wakaboost kazi zao kupitia msanii husika!!
Katika huu 2016, Baraka Da Prince amekuwa msanii aliyeshirikishwa zaidi!!
Baraka ameonesha uwezo mkubwa wa kuimba katika kazi mbali mbali kwa mwaka huu, kazi hizi zimefanya vizuri na zinaendelea kufanya vizuri!

Baraka ameshirikishwa katika kazi zifuatazo

1. Naogopa-Mirror
2. Mwambie-Benpol & Mr Blue
3. Sadimu-Moyo
4. Usisahau-Timbulo
5. Nitunzie-Bright
6. Niseme nawe-Otile Brown
7. Ndele-Suma Mnazareth


0 comments:

Post a Comment