ads

Tuesday 25 July 2017

YA MWANA FA NA KILE KIITWACHO COLLABO


Na. Steven Mwakyusa (Mtu Makini)
Kwa kawaida msanii anapoamua kumshirikisha msanii mwingine basi kuna vitu anakuwa ameviona kwa msanii husika ambavyo kwa namna moja au nyingine vinaweza kuboresha kazi husika!!

Katika kuchagua featuring msanii anaweza akapatia au akakosea kabisa, imewahi tokea katika nyimbo watu wakadai hapa angesimama fulani ingekuwa hatari! Hata kama msanii ataimba peke yake bado kuna watu huwa wanatamani ladha fulani ingeongeza!!
Katika hiki kinachoitwa collabo/featuring kuna msanii anayejiita Mwanafa, huyu kwa miaka mingi ameonekana kuzitendea haki feats(hasa pale anapowashirikisha wasanii wengine). Mwanafa amekuwa akifanya uchaguzi sahihi kwa wakati husika, hii inafaa kusema ili ushirikishwe na MwanaFa lazima uwe msanii mahiri na uwe unajua muziki...hivyo basi kwa wale ambao wakali kwa maana ya ukali basi wameshafanya collabo na MwanaFa
Orodha ni ndefu na miongoni mwao ni pamoja na
Ingekuwa vipi(Jaymoe)
Demu wa kwanza(Belle 9)
Hawajui/Alikufa kwa ngoma (Jay dee)
Kiboko yangu(Alikiba)
Unanitega(Noorah)
Wanapendana(Dully Sykes)
Kama zamani(Mandojo na Domokaya)
Yalait(Linah)
Dume Suruali(Vanessa Mdee)
Asubuhi(Q chilla)
Jukumu letu (Prof J)
Habari ndo hiyo (Ay)
Nazeeka Sasa (Sugu)
Aminia (Inspt Haroun, Ngwea)
Basi Aje(Banana Zorro)
Ungenambia(Stara Thomas)
Salamu(fid q)
Sasa sijui mtu anajiitaje mkali bila kuimba na huyu jamaa!!😀😀😀😀
Natania tu, kuna sababu nyingine kibao za kutoimba na

0 comments:

Post a Comment