MTUNZI: Moringe Mhagama
Jiunge na kundi langu la WhatsApp kwa 0717308038
KITABU CHA KWANZA
"Oyaa, madenti subirini abiria
waingie’’
‘’We dogo nitakufumua hembu sogeza
kongoro zako pembeni"zilikuwa ni miongoni mwa kauli zikaharishazo za
makondakta kila asubuhi na mchana wanafunzi waelekeapo na watokapo shuleni.Ni
wakati ambao makondakta wanakuwa na kiburi kwani wanakuwa na uhakika wa
kuwapata abiria ambao wakati huo huwa wanaenda na kutoka kwenye mihangaiko ya
kutafuta riziki.
Matusi na kusukumwa na hata
kichaniwa sare za shule ni mambo yaliyoonekana kuzoeleka masikioni na machoni
mwa watu ingawa palikuwa na wachache waliokuwa wakikereka na hali hiyo huku
kauli za kejeli kutoka kwa watu wengine zikiwakatisha tamaa watu hao walikuwa
wakijaribu kuwatetea wanafunzi ambao serikali iliwapa haki ya kulipa nusu ya
nauli ya kawaida.
Hayo yote yalikuwa yakitokea katika
kituo kidogo cha mabasi cha Njia ya Ng'ombe
kilichokuwa nje kidogo ya mji wa Moshi.
Miongoni mwa wahanga wa kauli na
manyanyaso hayo alikuwa Rehema Martin aliyekuwa akisoma darasa la tano katika
shule ya msingi Kiwanja cha ndege karibu kabisa na kituo hicho kidogo cha
magari.Ni kama vile alikuwa na damu ya kunguni kwani alionekana kuchukiwa na
karibu kila konda aliyekuwa pale stendi.Hiyo yote ilitokana na tukio lake la
kudai kuwa alikuwa ameibiwa nauli ndani ya gari kila alipotakiwa kutoa nauli
mara tano mfululizo tena kwenye magari tofauti kitu kilichomfanya kila kondakta
na hata madereva kutomruhusu kupanda garini hata kama angewaonesha nauli
kitendo chake cha kusafiri bure wiki nzima kilionekana kuwachukiza hata
wanafunzi wenzake ambao wakifika stendi ilikuwa ni lazima kwao kumtambulisha
kwa konda kuwa huyo ndo Rehema wa Njia panda
kwani wiki alilokuwa akisafiri bure kama mchezo kila walipofika eneo lililoitwa
njia panda alipotakiwa kutoa nauli alidai kuwa alikuwa ameibiwa hatimaye Rehema
likawa jina lake na Njia panda likawa jina la baba yake.
Baadaye ilikuwa ni vigumu kwake
kupata gari la kupanda si asubuhi si mchana hata kama angekuwa na nauli na
kupelekea kufikia uamuzi wa kuanza kutembea kwa miguu mara chache alibahatika
kupata rifti mwenye magari mengine
yasiyo ya abiria.
Kutoka kwao Rehema hadi shuleni
alitumia saa moja na dakika kumi na tatu kutembea hivyo alikuwa akifika shuleni
na nyumbani kwa kuchelewa tena akiwa hoi hali iliyopekea kuanza kushuka
kitaaluma.
Alishawaeleza walimu wake na mama
yake ambao walilipokea jambo hilo kwa namna tofauti, kwa upande wa walimu hawakulipokea
kwa umakini jambo hilo, kwanza kwa kuwa Rehema hakuwa miongoni mwa watoto watu
waliokuwa wakifahamika pale shuleni ama kwa mali za wazazi wao au umaarufu wao
pia hakuwa miongoni mwa wanafunzi walikuwa na akili sana darasani hivyo mateso
yalionekana ni haki yake kuipata.Kwa upande wa mama yake hakuwa na cha kufanya ingawa
ilimuumiza sana zaidi ya kumwombea kwa Mungu wake ambaye kwake aliamini kama
akimwadhibu kwa dhambi alizokuwa amezitenda ujanani ama aseme utotoni.
Alikumbuka historia yake iliyokuwa
ikimuumiza siku zote huku akimwomba Mungu kumuadhibu kwa namna yoyote lakini si
kwa kumfanya mwanaye apitie maisha kama yake akiwa hai ama akiwa mfu.Alijua
kabisa hakumjua baba halisi wa mwanaye kutokana na matumizi ya ujana wake.
Siku zilikatika huku Rehema akizidi
kuporomoka kitaaluma kutokana na mateso aliyoyapata kutembea masaa mawili na
nusu kila siku ilikuwa ni zaidi ya mazoezi ya marathoni waliyokuwa wakiyafanya
wanariadha kila ilipokaribia machi kila mwaka.Marafiki wachache walianza kumpa
sapoti hasa nyakati za jioni ili kumpa faraja binti huyo ambaye hadi umri huo
hakumfahamu kwa jina wala sura baba yake ambaye mama yake alimwambia kuwa
alifariki kwa ajali mbaya ya gari iliyotokea siku mbili baada ya kuzaliwa
kwake.
Alionekana ni mtu aliyekuwa na
mateso makubwa sana kwa kila aliyemwangalia licha ya kulazimisha tabasamu usoni
pake ,tabasamu ambalo lilikosa afya liliupoteza uzuri wa sura yake huku nywele
zake ndefu nyeusi na rangi nyeupe iliyouficha weusi ulioonekana kwa mbali
kwenye ngozi yake vilimfanya kila mtu amuweke kwenye kundi la watu
waliochanganya damu ya kiafrika na kizungu.Lakini licha ya uchotara wake Rehema
alionekana kuing'ang'ania sura ya kirembo aliyokuwa nayo mama yake Tumaini
Martin ambaye kama si moshi wa kuni wakati wa kupika pombe ya kienyeji maarufu
kwa jina la 'Dadii' ili kuikimu
familia yake basi angekuwa miongoni mwa kumi bora ya akina mama warembo mjini
Moshi.Miaka thelathini na sita aliyokuwa nayo aliiamini yeye pekee lakini kila
aliyemwangalia alimwona kama binti wa miaka kumi na tisa ama ishirini na mbili.
Hakuwa na mtoto ama ndugu mwingine
pale Moshi zaidi ya bintiye Rehema ambaye tangu akiwa mdogo alianza kukutana na
mateso makali baada ya kuugua ugonjwa wa ajabu uliomfanya avimbe kichwa upande
mmoja.
***
Tumaini Martin wengi wakipenda
kumwita Tuma alikuwa mtoto wa tatu kati ya watoto watano wa mzee Martin Kasuku
na Lydia Kilongo waliokuwa wafanyabiashara mkoani Dodoma.Mzee Kilongo alikuwa
miongoni mwa askari wastafu wa Jeshi la Wananchi aliyekuwa na cheo kikubwa
jeshini.
Alikuwa na watoto watoto wakiume
wanne waliokuwa na sura za kutisha na mtoto mmoja wa kike ambaye alikuwa na
sura nzuri illiyokuwa ikimvutia kila aliyeiona ama kusikia sifa zake.Wengi
walimtuhumu Bi Lydia kuwa huenda alichepuka alivyoenda kuwasalimia wazazi wake
huko Kyela kwani binti alikuwa mrembo haswa.Uzuri wake ulivumbuliwa tangu akiwa
mdogo na kadri alivyokuwa akikua ndivyo vitu vingi vilivyokuwa vimejificha
kwenye mwili wake vilijitokeza na kumfanya kila mzuri mjini pale alinganishwe
kwanza na binti huyo ambaye aliiibua matumaini ya wazazi wake kupata mtoto wa
kike na kupewa jina la Tumaini.
Akiwa darasa la saba Tumaini alikuwa
ni miongoni mwa wanawake waliokuwa wakifuatiliwa kimapenzi na wanaume wengi
mjini Dodoma.Wazee,vijana,matajiri ,masikini waliokuwa na kazi na wale wenzangu
na mimi akina pangu pakavu tia mchuzi
walijaribu bahati yao suala alilolifikisha kwa baba yake kupitia mama yake
ambaye hakuacha kuwaadhibu vijana aliokuwa akiwakuta na binti yake.
Siku moja jioni kama ilivyokuwa
kawaida yake wakiwa jikoni na mama yake Tumaini alionekana mtu mwenye wasiwasi
sana hali iliyomfanya mama yake ahisi kuwa binti yake alikuwa na jambo
lililomfanya awe katika hali hiyo.
"Mbona hivyo Tuma, kuna
tatizo?" Aliuliza Lydia.
“Hakuna tatizo mama “alijibu Tuma
huku akizuia machozi kushuka.
"Niambie mwanangu mie ni mama
yako niambie jambo likusumbualo nitakusaidie"Alibembeleza mama yake.
“Hutoniamini mama"
"Niambie mwanangu nitakuamini,
mangapi umeniambia nikakuamini?"
"Yote yalikuwa madogo hili
hamtaliamini mama"
“Au ndo hao wanaume wa kila siku? We
u mrembo lazima wakusumbue cha msingi kuyazingatia tuliyokueleza umri na wakati
haujafika mwanangu" mama mtu alizidi kutoa nasaha.
“Ndiyo wanaume mama"
"Wanakutisha Leo?"
"Hata hawanitishi, ila huyu wa
leo amenitisha"
"Namfahamu?"
"Ndiyo"
"Nani"
"Baba Zita"
"Acha kuchuma dhambi binti yangu,
baba Zita mchungaji? We mtoto unataka kugombanisha watu si bure"
"Ndo maaana nilise,,,,,,,"
"Kimya shetani wewe umetufanya
watoto" Aliongea Bi Lydia kwa hasira akimalizia na kofi lililokwepwa
kiustadi na kutua juu ya sufuria iliyotoa ukelee baada ya kufika sakafuni na
kumshtua Mzee Martin aliyekuwa sebuleni na wanawe wa wawili mwisho na kuelekea
jikoni.
Anord Mwakibale au Baba Zita kama
wengi walivyozoea kumwita alikuwa Mchungaji wa kanisa la "The End" lililokuwa limeingia
nchini miaka ya tisini huku likisifika kwa kuwa miongoni mwa makanisa machache
yaliyokuwa na uwezo wa kuwaponya wagonjwa, kuwafanya vipofu waone, viziwi
wakasikia na hata viwete wakatembea.
Mchungaji Mwakibale alifahamika si
tuu Dodoma pekee bali hata nje ya Afrika kutokana na kazi yake kubwa ya kuokoa
maelfu ya wanadamu waliokuwa na shida mbalimbali kwa miujiza na wokovu.
Urafiki wake na Mzee Martin ulianza
miaka mingi iliyopita kipindi wapo shule ya sekondari ya wavulana
Tabora.Walitengana kwenye mafunzo ya Jeshi La kujenga Taifa ambapo Martin
alipelekwa Oljoro na Anord akipelekwa Kanembwa.Walikuja tena kukutana chuo
kikuu cha Dar es salaam ambako waliurejesha urafiki wao hadi walipomaliza na
Martin aliporejea jeshini kwa Mara ya pili safari hii akiingia Jeshi la
wananchi na Anord akipangiwa kazi mkoani Tabora kama Afisa manunuzi wa Mkoa.
Miaka mitano baada ya kuanza kazi
Anord alipatwa na ugonjwa wa ajabu.Ilikuwa Siku ya jumamosi kama kawaida yake
alikuwa na mazoea ya kufanya ziara za kushitukiza kwenye ofisi zilizokuwa chini
ya idara yake wilayani.Akiwa ndani ya gari la serikali ambalo lilitumika tangu
zama za ukoloni Anord alimwona mtu ambaye kama aliwahi kumwona mahali.
Akamwambia dereva wake asimamishe gari,
kisha alishuka na kuelekea upande aliomwona yule mwanamke.Baada ya hatua kama
tatu macho yake yakakutana na mwanamke aliyekuwa akimfuata akiwa amekaa chini
ya mti wa maembe.
Alijikuta akishindwa kabisa kusogea,
akajaribu kunyanyua mdomo wake aseme kitu lakini mdomo wake nao ukawa mzito
kutamka kitu .Wakabaki wakitazamana tuu bila kuongea chochote.
Macho yao yalijaribu kuzungumza
lakini nayo yalipoteza uwezo huo, kila alipojaribu kumwongelesha kwa macho
alishindwa.
Baada ya kuduwaa kwa takribani
dakika mbili, hatimaye macho yao ama tuseme nafsi zao zikazungumza.
“Njoo, mwenzako nateseka hapa"
“Mie siwezi mrembo wangu, njoo
wewe"
“Mie siwezi nipo kifungoni"
"Kifungoni! Kakufunga nani? "
Waliendelea kujibishana kwa hisia
huku kila mmoja akionekana kumhurumia mwenzake.
“Bosi si unaliona wingu twende
barabara itachafuka" Sauti ya dereva wake ilimshtua Anord ambaye ni kama
alikuwa amerudishwa kwenye ulimwengu mwingine na kumfanya afikiche macho kuhakikisha
kama alikuwa akiota.Hakumwona yule binti aliyekuwa akiongea naye kwa hisia bali
watu wengi wakiendelea na shughuli zao za kila siku huku wakionekana kuchukua
tahadhari ya mvua iliyoonekana kutarajiwa kunyesha.
“Hivi nimetumia muda mrefu
sana?" Aliuliza baada ya kuingia garini.
“Umemaliza dakika thelathini
ukishangaa watu"
"Acha uongo wako wewe hata
dakika tano hazijafika"
“Tano?, we kweli
umechanganyikiwa" aliongea akiondoa gari.
“Nimechanganyikiwa, mpumbavu mkubwa
wewe kwa hiyo bosi wako amechanganyikiwa? Hembu nipishe hapa nimekuajiri upate
kulisha familia yako nawe unajitia kidume kuniona nimechanganyikiwa, toka
mpumbavu wewe" aliongea Anord kwa hasira huku uso wake ukibadilika na kuwa
mwekundu.
Tangu aanze kufanya kazi kama dereva
wa afisa manunuzi wa mkoa ule miaka minne iliyopita hakuwahi kumwona bosi wake
akiwa amefura kiasi kile huku akisifika kwa kuwa na utani mwingi kwa
wafanyakazi waliokuwa chini yake.Alimtania na kutaniwa na kila mtu bila kujali
nafasi yake au jinsi, mabinti walitania na kumaanisha kuhitaji ndoa naye lakini
aliishia kuwaambia ataoa Mbeya tena mke wa kutafutiwa na bibi yake.
Lakini kwa wakati ule alionekana
kutokuwa Anord aliyezoeleka, dereva alitoka garini kuzuia jambo lolote baya
kumfika kutoka kwa bosi yule kinyonga aliyegeuka mbogo ghafla.
Baada ya dereva wake kushuka
aliusogelea usukani akiwa na hasira na kutaka kuendesha gari lakini alijikuta
akilegea na kuangukia usukani jambo lilimfanya dereva wake aliyekuwa
akimwangalia arudi garini na kumwangalia bosi wake ambaye licha ya kumtimua
garini muda mfupi uliopita alikuwa akimwona kama ndugu yake wa damu tangu siku
ya kwanza ambapo alimchukua kwa shangazi yake miaka mitano iliyopita na
kupeleka chuo cha ufundi Ifunda alikojifunza Umakanika na udereva kisha
kumwajiri kama dereva wake.
Aliingia garini na kujaribu kumwinua,
Anord alijaribu kumzuia huku akijaribu kuzungumza kitu lakini alionekana
kuishiwa nguvu kabisa hata zile ndita zilizokuwa usoni lake zilikosa nguvu na
kuonesha sura iliyojaa unyonge.Alifanikiwa kumweka kwenye siti ya pembeni na
kumfunga mkanda kabla ya kuwasha gari kwa kasi ya ajabu kuelekea hospitali.
Alipofanikiwa kuiweka gari lile la
kizamani barabarani sawasawa hakuwaza kitu kingine zaidi ya kutaka kujaribu
kuokoa maisha ya bosi wake.Akiwa katika kasi ya ajabu alishtuka kuona roli la
kampuni ya tumbaku ikiwa ipo katikati ya Barabara huku watu kadhaa wakihangaika
kufungua tairi la mbele, hakufanikiwa kufikiria kitu zaidi na kujikuta
akijigonga kwenye kitu kizito na giza totoro lilikamata macho yake.
Mafundi waliokuwa wakitengeneza Lori
walipoona gari ikija kasi mahali walipokuwa wamesimama waliamua kuyanusuru
maisha yao kwa kukimbilia pembeni ambako waliamini wangekuwa salama.
Kilichofuta wengi walishindwa
kukisimulia japokuwa walikuwa wamekishuhudia kwa macho yao mawili mazima bila
hata kasoro yoyote.Kilichoshuhudiwa ni mwili mmoja kutolewa kupitia kioo cha
mbele cha gari kabla ya kutua juu ya lori na kutua chini ambapo mapande ya
nyama zenye damu yalionekana yakiwa yamesambazwa barabarani.
Gari liligonga lile lori na kutupwa
pembeni na kama ilivyokuwa kawaida watu walilisogelea na kuanza kuchungulia
kilichokuwemo ndani mwake.
Hakuna aliyeamini alichokishuhudia
ndani ya lile gari dogo na kumfanya kila aliyeona asogee pembeni na kumtaka
mwenzake aone alichokiona na kuhakikisha kama naye ataamini.
*****
Watu wote waliokuwa wamelizunguka
lile gari huku wakishangaa kuona mtu ambaye alikuwa kwenye ajali mbaya kama ile
kusinzia ndani ya gari na kuota ndoto ambayo bila shaka na ilikuwa ya mahaba
kutokana na jinsi alivyokuwa akifanya kabla ya kujibamiza kwenye Chuma
kilichokuwa kimechomoza na kumsababishia jeraha kubwa lililokuwa likitoa damu
nyingi sana na kurukia nje .Walimtoa mtu yule na kumpa huduma ya kwanza kuzuia
damu kutoka kisha kumpakia kwenye gari lingine lililokuwa limesima baada ya
njia kuzibwa na magari yaliyokuwa yamepata ajali.
Anord licha ya kuwa na jeraha kubwa
lililokuwa likimtisha kila mmoja aliyeliona hakusikia maumivu yoyote huku
akikumbuka ndoto aliyokuwa akiiota.Alimkumbuka Sikujua lakini aligundua Sikujua
yule alikuwa na nywele ndefu na mweusi zaidi ya Sikujua aliyekuwa
akimfahamu.Lakini zaidi alikumbuka kuwa Sikujua alikuwa ameolewa huko Dodoma
miaka miwili ikiyopita na ni yeye ndiye aliyempeleka stesheni ili akapande
treni.
''Hapana !'' Anord alijikuta
akiongea kwa sauti kubwa na kuwashtua wauguzi waliokuwa wamembeba kwenye
machela kumwingiza wodini.
Baadaye aliamua kulala tena baada ya
kugundua kuwa kushtuka kwake kuliifanya damu iendelee kutoka kichwani
pake.Ndani ya wodi madaktari waliendelea kuhangaika kuokoa maisha yake lakini
akili ya Anord ilikuwa ikimfikiria mrembo ambaye alikuwa amempa raha
usingizini.Hakutaka kabisa kufanya kitu kingine zaidi ya kutaka kupata utamu
ambao Sikujua wa usingizini alikuwa akiendelea kumpatia.
Masaa kadhaa ya kusafisha na kushona
jeraha lililokuwa kichwani kwa Anord alijaribu kurejesha kumbukumbu kichwani
mwake na kurejesha akili hiyo kwenye ulimwengu wa kawaida , alikumbuka tangu
alipomwona msichana mrembo ambaye walijibishana kwa macho ,ugomvi na dereva
wake na kisha kumfukuza.Akili yake ilimkumbusha pia chanzo cha ugomvi wao,
ambacho alijua kabisa kuwa hakuwa sababu ya kumfukuza ndugu yake ambaye alikuwa
ameenda kumchukua kijiji kwao.Hakujua kabisa kuwa ndugu yake huyo ambaye ndiye
dereva wake aliyekuwa amemfukuza masaa machache yaliyopita hakuwa tena hapa
duniani bali alikuwa ameshafariki.
Akili yake haikumwambia kuwa
aliyekuwa akiendesha gari alikuwa si yeye bali dereva wake aliyekuwa amefariki.
Alifikiria mahali ambako ndugu yake
huyo angekuwa, alijua kabisa alikuwa amemsababishia mateso bila sababu yoyote
ikizingatiwa kuwa alikuwa ugenini ambako kwa haraka haraka suluhisho lingekuwa
ni kushinda kwenye mashamba ya tumbaku kufanya kazi jambo ambalo hakutaka
kabisa litokee.
Majira ya saba mchana gari la
serikali lilifika hispitalini na kumchuka kwani alikuwa si mtu wa kulazwa huku
mwenyewe akiwa hana maumivu yoyote zaidi ya kutishwa na wingi wa damu iliyokuwa
imemwagika.
''Pole kwa msiba ndugu yangu''
Aliongea dereva aliyekuwa akiendesha gari walilokuwa wamepanda baada ya
kumfikisha nyumbani kwake.
''Msiba nani amekufa?"
“Dereva wako mlipopata ajari
alipoteza maisha pale pale''
Anord alijikuta akishindwa kujizuia
taratibu machozi yalimshuka na akajikuta akikaa chini pale pale mlangoni.Hapo
ndipo kumbukumbu kuwa alikosa nguvu mara tuu alipotaka kuendesha gari.Aligundua
kuwa dereva wake ndiye aliyekuwa anaendesha gari pia taswira ya tukio la
kuchomwa na chuma ndani ya gari ilijirudia kichwani kwake alijiona akiwa kwenye
kiti cha pembeni huku nyama na damu zikiwa zimesambaa ndani na nje ya
gari.Alijilaumu sana kwa kitendo chake cha kugombana na dereva wake kwani
alihisi kuwa kumgombeza kulimfanya aendeshe gari huku akiwa na mawazo hatimaye
alikosa umakini kabla ya kupata ajali hiyo.
Hayo yote yalipita akilini mwake
haraka haraka sana akiwa palepale chini mlangoni.
Alisaidiwa kuingia ndani na yule
dereva aliyemleta kabla ya kuja wafanyakazi wenzake waliokuja kuandaa mazingira
ya msiba kwani marehemu alikuwa akiishi naye kabla mauti kumfika na yeye pekee
ndiye aliyekuwa ndugu pale Tabora mjini ndugu wengine walikuwa Sumbawanga
,Kigoma na Dodoma wengi walikuwa Mbeya na kwa njinsi mwili wake ulivyokuwa
umeharibiwa isingewezekana kuusafirisha hadi Mbeya.
Siku iliyofuata ndugu na jamaa
kutoka sehemu mbalimbali walikuja kujumuika na wafanyakazi wengine kuuweka
mwili ule kwenye nyumba yake ya milele.
Hakuna aliyejua kilichokuwa nyuma ya
ile ajali wengi wakiamini ilikuwa ni ajali ya kawaida iliyokuwa imetokana na
mwendokasi.
Siku, wiki na hatimaye miezi ilipita
lakini kidonda kilichotokana na jeraha la ajali kiliendelea kuongezeka na kutoa
harufu kali iliyopekelea watu kuogopa kuwa karibu ya Anord.Japokuwa mwenyewe
alidai kuwa alikuwa hapati maumivu yoyote lakini wenzake walidai kichwa chake
kilikuwa hatarini sana kutokana na hali yake.
Wakati hayo yakiendelea ile ndoto
tamu ilikuwa ikijirudia kila siku lakini hakuna siku aliyokuwa amefanikiwa
kufikia hatua ya kulila tunda.Ndoto haikuchagua sehemu ya kutokea nyumbani
ndani ya gari ofisini na popote pale ilipojisikia kutokea.
Kila mara Anord alijikuta akiaibika
kuchafua nguo zake kwa madafu lakini licha ya aibu ile aliifurahia ile ndoto na
kutamani imtokee tena.
Sauti za kugugumia utamu ndizo
zilizokuwa sababu ya wafanyakazi waliokuwa ama juu yake au chini yake kupata
cha kuongea ili atoke.
" Hivi unajua Anord amekuwa
kichaa?" Katibu wa Anord alikuwa aakimweleza mfanyakazi mwenzake.
''Yule atakuwa na jini asipotembea
atapata shida au kufa kifo kibaya....''Alimjibu mwenzake ambaye kabla ya
kumalizia jibu lake alimwona Anord ambaye alionekana amesikia kila kitu.
''Umesema nini?"Anord aliuliza
akiwa amefura kwa hasira.
''Sijasema kitu mbona umefura
hivi?"Alijibiwa Anord jibu ambalo halikumwingia kabisa akilini.
" Nitapiga mtu hapa si mmesema habari
za wehu na majini yenu?"
"Utakuwa umesikia vibaya
hatujasema habari hizo ndugu''
"Halafu we mfupi ka Kisebengo
unajifanya unajua kiherehere sana'' Anord alionekana kutokuwa na mchezo hata
kidogo akimsogelea mfanyakazi mwenzake aliyekuwa akipendelea kumwita Kisebengo
kutoka na kimo chake kifupi.
''Jamani mbona unapenda sana
kunionea jamani ''Kisebengo alimlalamikia Anord ambaye walitofautiana tuu
vitengo ye akiwa mhasibu wa mkoa.
Japokuwa wote walionekana ni vijana
wa rika moja Anord daima alionekana mwenye mamlaka juu ya wenzake kwanza
kutokana na kuwa na muda mrefu kwenye ile ofisi huku yeye akifanya kazi zote
kama mhasibu na afisa manunuzi wa mkoa wa Tabora.
''Samahani jamani lakini jiangalie
Anord haya mambo si ya kawaida''Yule mfanyakazi mwingine alishauri akimtetea
Kisebengo na kumpa ukweli Anord ambaye kila mtu pale ofisini alijua kuwa
alikuwa kwenye matatizo makubwa.
''Na we unanitafuta kila siku ''
''Nani mimi"
''Ndiyo kila siku kazi kuwateta
wenzako tuu na kuingilia hata yasokuhusu''
''Eti jamani mie kosa langu nini
?"
''Hulijui kosa lako ehhe ?"
''Ndiyo, au nilivyokushauri?''
''Umenishauri zaidi ya kuongea mambo
ya kuongea wanawake?"Anord alionekana kupandwa na jazba kabisa yaani hata
mtu angemwita jina lake kwa wakati ule lazima angemgeuzia kibao na kumchapa.
''He! Na wewe ukiwa na shida
tusikuambie? Ngoja tuu tukuambie ukweli wewe una matatizo makubwa kama ndugu na
majirani zako wanaogopa kukuambia ukweli wakisubiri mahoka wa babu zako
wakuambie wanakupoteza nakuambia kwa mema kama utanichukia sawa ila hapa
umeshapata hasara''Kisebengo alijitutumua na kumwambia Anord ukweli ambao
hakupenda kabisa kuusikia kwani alihisi kuonewa.
Kila neno lililokuwa likitafsiriwa
na akili yake lilionekana kumchoma lakini si kwa kumfanya awe mpole kwa kuwa ni
la kweli bali lilikuwa likimpandisha hasira zake alijitahidi kujizuia lakini
hatimaye alijikuta akirusha konde lililokwepwa kiustadi na kisebengo ambaye
aliliona tangu likiandaliwa.
Anord hakukubali akatupa jiingine
ambalo liliyompata Kisebengo kisawasawa kwani alionekana kuzubaa baada ya
kukwepa konde la kwanza.
Kisebengo alipelekwa mlangoni
alikojipigiza na kupata maumivu ambayo yalimpandisha hasira.
Aliinuka na kumparamia Anord ambaye
hakujiandaa kwa kumchapa ngumi ya uso iliyompata sawasawa na kumpigiza ukutani
na kutua chini kama mzigo jambo lililowafanya kisebengo na mwenzake wapate hofu
na kumwinua Anord ambaye alikuwa ameshapoteza fahamu.
Pona yao walikuwa watu watatu pekee
kwani wafanyakazi wengine hawakuwepo mahali pale ofisini kwa kuwa ilikuwa
asubuhi sana tena Siku ya jumamosi ambayo haikuwa siku ya kazi kwa ofisi nyingi
pale mkoani na hata ofisi zilizokuwa zikitoa huduma zilichelewa kufunguliwa.
Akiwa katika kupoteza fahamu Sikujua
alimtokea kama ndoto zake za siku zote lakini siku ile alionekana mwenye furaha
sana.
''Mbona unaonekana umefurahi sana
mpenzi?" Anord aliuliza akimwangalia Sikujua kwa macho ya uchu kwani
alionekana amependeza kuliko Siku nyingine alizokuwa akimwota.
''Ninakucheka wewe''
''Mimi! Nachekesha?"
“Ndiyo unahangaika kufuta damu na
kitambaaa ukihisi jasho"
''Kweli nilijua jasho kweli''Anord
aligundua hilo baada ya kujiangalia mkono wake uliokuwa unelowa damu, ajabu
hakusikia maumivu yoyoyote.
''Hivi nimeumia sana?"
'Ndiyo lile kovu lako la ajali
limefumuka tena, lakini tuachane na hayo leo ni siku ya furaha sana maana ni
siku ambayo nitakuwa na wewe wakati wote maishani mwangu''
''Kweli ?"Anord aliuliza kwa
wahka.
''Kweli mpenzi wangu utaishi nami
milele na utaijua sababu ya haya yote.
Anord alifurahi sana kwani alijua
raha alizokuwa akiziota muda mfupi na kukatishiwa utamu njiani akuwa akizipata
kila wakati.
''Au ni ule wakati ambao ulisema
nitapata nafasi ya kufaidi tunda lako?".Anord aliuliza akikumbuka kuwa
aliambiwa muda ukifika hawataishia njiani wala kufaidi raha usingizini bali
wataishi duniani kama watu wengine
wakifurahia raha lakini kwa sharti moja la Sikujua kutoonekana nje na
angewambia ukweli juu ya maisha yake.
''Bado muda kufika ila ni hatua
kuelekea huko''.
Licha ya kuambiwa kuwa muda ulikuwa
haujafika Anord aliona ni hatua nzuri kwani hakuna kitu alichokifurahia kama
kuja kupata uhuru wa kula tunda la Sikujua wa ndotoni.Alimsogelea Sikujua na
kumkumbatia na kwa kuwa alikuwa amemfundishwa mambo mengi Anord alijikuta
amebobea katika kumpeleka Sikujua panapohusika bila hata kutumia fimbo yake ya
kurekebishia tabia.
Alimmvua gauni lake refu lililokuwa
nguo pekee iliyokuwa imeufunika mwili wake na kumbeba na kumshusha kitandani
kisha kumshika kiuno chake kuelekea bafuni jambo ambalo lilimshtua sana Sikujua
jambo ambalo Anord hakuligundua kwani akili yake ilikuwa katika kwenda
kuanzisha raha.
''Nisubiri nakuja mpenzi''Anord
aliongea akirudi chumbani kupitia sebuleni jambo ambalo bila kujua lilimtisha
Sikujua na ambaye kwa hasira aliinuka na kumfuata Anord na kumpiga mgongoni na
kumshitua Anord aliyeshtukia yupo hospitalini huku mbele yake kukiwa na
Kisebengo na yule mfanyakazi mwenzake waliyekuwa wote kwenye ugomvi.
____________
''Asante Mungu ameamka! Kisebengo na
mwenzake walijikuta wakiongea kwa sauti ya juu iliyowashtua hata wagonjwa
wenzake.
''Kweli Mungu mkubwa hakuwa wakupona
yule''Alisikika mgonjwa alikuwa kwenye kitanda cha tatu kutoka alipokuwa
amelazwa Anord.
''Maombi yamesaidia unafikiri bila
kuomba angepona kweli?" Alisikika mwingine.
''Hebu nielezeni
ilikuwaje?"Anord aliongea kwa kunong'oneza akimuuliza Kisebengo wakati huo
akiwa amesahau kabisa ugomvi wao wa asubuhi.
''Nitakuambia ukiruhusiwa ila
kiukweli haupo sawa yaani unaonekana una jini linakutesa bora tuu
utembee?" Yule mfanyakazi mwingine aliongea akimkumbusha maneno ya
Kisebengo ya asubuhi lakini tofuti na wakati ule Anord alionekakana
kuyatafakari maneno ambayo haikuwa mara yake ya kwanza ama ya pili kuyasikia.
''Kutembea?"
''Ndiyo''
''Mhhh kwani tatizo nini?"Anord
alikumbuka raha ambazo alipanga akampe Sikujua akajikuta ametopea tena kwenye
ndoto yake tamu.
Anord aliporudia ndoto yake
Kisebengo hakuna na kingine cha kufanya zaidi ya kumwita daktari ambaye
alimkuta mgonjwa wake akiwa katika usingizi mzito hivyo aliwataka waondoke na
kumwacha mgonjwa kwa madai kuwa alipewa dawa zenye nguvu sana bila kujua kuwa
palikuwa na jambo nyuma ya lile jambo.
''Inawezekanaje sasa hivi niongee
naye halafu alale ghafla hivi?" Kisebengo aliamua kumuuliza daktari wakati
wakiwa njiani kuelekea nje ya wodi aliyokuwa amelazwa Anord.
''Inawezekana alikuwa akiongea na
wewe akiwa usingizini, kwa hiyo ni jambo la kawaida tuu''Daktari alimjibu na
kumwacha Kisebengo peke yake pale nje ambapo kwa mara ya kwanza alijiuliza juu
ya kupata mlo kwani tangu asubuhi ya siku ile hakuweka chochote tumboni.
____
Kwa upande wa Anord alikuwa akifaidi
ndoto yake maridadi ambayo daima ilimpa liwazo na tumaini akimsahau kabisa
mchumba wake aliyekuwa kijijini kwao.
Aliingia chumbani ambako alichukua
mkasi mdogo na kurejea bafuni ambako alimkuta Sikujua akiwa amesimama tuu kama
mwenye mawazo fulani.
''Vipi mbona na mkasi mpenzi?"
Sikujua aliuliza akicheka.
''Mkasi? Labda
nilijisahau"Anord naye alijibu akicheka.
''Sawa urudishe basi tuoge''Aliongea
Sikujua mwa sauti nyororo ambayo ilizidi mdatisha Anord ambaye alitamani
kumparamia lakini alikumbuka kuwa hakutakiwa kufanya hivyo kwani ugali
mbichi huumiza tumbo.
''Basi ngoja tuu kwa kuwa umefika
hapa lazima utumike sogea nikuelekeze jinsi ya kushika mkasi'' Anord aliongea
akimshika kiuno sikujua ambaye wakati huo hakuwa na vazi lolote mwilini.
Sikujua alimsogelea Anord karibu
sana hadi kufikia hatua ya dodo zake zilizokuwa wima ziuguse mwili wa Anord
ambaye alizidi kusisimka na kujikuta akitetemeka mikono yake.
''Sogea m - m mpenzii''Alibabaika
Anord wakati huo alipiga magoti kwenye kistuli kulichokuwa mle bafuni na
kupanua miguu ya Sikujua ambaye alijua kilichokuwa kikifuata.Kwa uangalifu na
umakini mkubwa Anord alijaribu kukata nywele zilizokuwa zimeota kwa fujo
kuzunguka usiri wa Sikujua.Alikata na kusisawazisha kwa vidole vyake kupima
kama zilikuwa za kiwango alichokuwa akikitaka.
''Mbona una msitu hivi mpenzi?"
Aliuliza Anord huku akijaribu kupitisha kidole chake kuingia ndani ambako
kulionekana kupata mchocheo wa hali ya juu kwani joto na unyevu wake
uliongezeka mara dufu.
''Nilikuwa nataka mwanaume wangu wa
kwanza aje kuutoa"
''Kwa hiyo hujawahi kuwa na mwanaume
kabla yangu?" Anord aliuliza huku akiendelea kupunguza zile nywele kwa
umakini mkubwa lakini kadri alivyokuwa akishika zile nywele ndivyo Sikujua
alivyoanza kupumua kwa shida kuonesha kuwa alikuwa katika wakati mgumu.
''Ndiyo mpenzi wewe ndiye wa kwanza
kwangu''
''Kweli?"
''Na wewe maswali yako hadi
unaniudhi nikwambie mara ngapi? Mhhhh“Sikujua aliongea akimpiga piga Anord
mgongoni.
''Siamini mpenzi natamani hiyo siku
ifike haraka nifaidi hii tamu''Anord aliongea akipigapiga kichwa cha chini cha
Sikujua na kunyanyua vinywele kwa vidole vyake kwa mtindo wa kuvikusanya.
''Ashhhh mhhh enheee hivyo hivyo
''Sikujua alijikuta akijipinda pinda na akajikuta akilala kwenye sinki
lililokuwa na maji ya baridi huku akimpa nafasi Anord kumuosha maeneo aliyokuwa
akiyafanyia usafi na maeneo ya jirani.
Baada ya kuhakikisha kuwa alikuwa
amemsafisha vilivyo alimwinua na kumbeba kisha kumpeleka kitandani ambako
alimfuta maji kabla ya kuchukua kopo la asali ambayo aliimiminia kiganjani na
kumsogelea Sikujua ambaye hadi wakati huo alikuwa ameshazidiwa akajikuta
akipeleka mkono wake mmoja usirini ambako aliuacha ukivijari huko huko huku
kidole kingine kikiwa kikilambwa na ulimi wake.
Anord aliutoa mkono uliokuwa sirini
na kuupa pipi kijiti ambazo kwa kipindi kile hazikuhitajika senti nyingi kuweza
kuzipata na ili kuzinunua ilikuwa ni kwa ajili ya watoto.Sikujua aliipokea ile
pipi na kuitoa gandani ambapo alijikuta akigeuzwa kwa mkono mmoja wenye nguvu
wa Anord kisha asali kuwekwa kwa vikundi kuzunguka kiuno chake upande wa
mgongoni kabla ya kuhisi kitu chenye joto kikivinjari maeneo ya kiuno
chake na kuhisi vitu vikitembea tembea mwilini mwake huku usiri wake ukizidi
kuzalisha ubichi.
Baada ya ulimi kumaliza kuilamba
asali iliyokuwa imepakwa mgongoni, asali nyingine nikapakwa mapajani sehemu ya
nyuma ya magoti kisha zoezi la kulambwa likiendelea na kumweka Sikujua kwenye
wakati mgumu zaidi kwani kasi ya kuilamba pipi kijiti ilipungua kadiri muda
ulivyosogea huku sauti za kuhema zikipanda na kushuka jambo ambalo licha ya
kumfanya Anord atoe ute ute kwenye silaha yake ambayo kama ingeguswa tuu basi
risasi zote zingetoka kwa kasi hakushtuka wala kuacha alichokuwa akikifanya
zaidi ya kuhama tuu maeneo ambapo kwa wakati huo alihamia miguuni ambapo
alipaka miguu yote asali hadi unyayoni ambapo alianza kuilamba taratibu lakini
hata kabla hajaimaliza asali ya mguu mmoja Sikujua alijipinda na kuacha pipi
kijiti ya mzungu na kuanza kuila ile iliyotengenezwa na Muumba ambapo nayo ni
kama ilikuwa imetegeshwa ilirusha risasi zilizotua kinywani mwake na kumfanya
Anord ajipinde kwa raha na kuahirisha zoezi lake na kwa kuwa walikuwa wamelala
kwa kupishana kichwa miguu miguu kichwa Sikujua alilamba pipi ile kwa utaratibu
kuku vidole vyake vikizunguka shina la ile pipi na kumweka kwenye wakati mgumu
zaidi Anord ambaye naye alijikakamua kuanza kunyonya usiti wa Sikujua ambaye ni
kama alikuwa akipigwa na shoti ya umeme kwani alijipindapinda na kumgeuza Anord
na kuielekeza ile pipi sirini kwake.
Kama ilivyokuwa kwa Sikujua kwa
upande wa Anord naye hali ilikuwa hivyo kwani hakuwa na kipingamizi kwani
aliruhusu pipi yake iingie shimoni ambako ilipokelewa kwa kiuno
kilichozungushwa kwa umaridadi sana.Ilikuwa ni kama mashindano kwani kila Anord
alivyoenda chini Sikujua naye alikuwa akija juu akienda juu basi atamfuata huko
huko kulia alienda kushoto ili kuongeza msuguano ambao ulikuwa ndio chachu ya
utamu wa zoezi.
Dakika arobaini zilipokuwa zikisha
ndipo wote walikuwa wakishuka mlima mrefu ambao walikuwa wameupanda tena wakiwa
wakikimbia mtu wa kwanza kushtuka alikuwa Sikujua ambaye ni kama alikuwa
akirejewa na fahamu na kujishika siri yake ambayo haikutamanika kwa
kulowanishwa na dafu lililokuwa nimepasuliwa na kumwagiwa maeneo hayo.
''Paah!'' kibao kilichotua kwenye
shavu la kushoto la Anord na kumzindua kutoka kwenye umbumbumbu
uliotokana na shughuli aliyotoka kuifanya.
''Mbona unanipiga Siku
kulikoni?" Alilalama Anord akijipapasa shavu lake lililokuwa limepigwa.
''Umefanya nini mpumbavu wewe?"
''Nimefanya nini ama tumefanya
nini?" Aliuliza Anord akicheka.
''Mpumbavu mkubwa wewe umeona
nakuchekesha hapa'' Hapo kofi la uso lilitua usoni likifunika jicho lote na
kuumsababishia Anord atoe ukelele wa maumivu.
''Mamaaaa nakufa!"Sauti
ilimtoka Anord na kuwashtua wagonjwa na Kisebengo ambaye alikuwa ameanza
kusinzia kutokana na ukimya wa mgonjwa wake.
''Nini tena Anord?" Aliuliza
kwa wahka Kisebengo huku akijutia kitendo cha kujiingiza kwenye matatizo ya
Anord ambaye alijua kabisa kuwa palikuwa na kitu kilichokuwa kikiendesha suala
lile.
''Nimepigwa kofi la uso ''
''Na nani wewe umepigwa wapi?"
''Jicho la kushoto halafu
limevimba'' Alijieleza Anord wakati huo wagonjwa kadhaa walikuwa karibu na
kitanda cha Anord wakishangaa maneno aliyokuwa akiongea kwani kuna waliokuwa
wakimshuhudia anavyojipiga kwenye pembe ya kitanda cha chuma alichokuwa
amelalia.
''Mzee si umejigonga kitandani mara
mbili, mara ya kwanza shavuni na mara ya pili kwenye jicho lako la kushoto sasa
hilo kofi la kukutoa nundu umepigwa saa ngapi?" Aliuliza kijana mmoja
aliyekuwa amelala pembeni yake akimwangalia Anord tangu alivyoanza kuhangaika
kujigeuza huku na kule saa nyingine akilamba hewa na shuka lake.
''Kweli ona hata nywele zimebakia
hapa" aliongea mgonjwa mwingine ambaye alikuwa kwenye kiti cha matairi.
'' Anaweza akawa na jini huyu si
bure'' Alichangia mada mmoja aliyekuwa kwenye kundi la wagonjwa wagonjwa
waliokuwa wamesimama kukizunguka kitanda cha Anord.
''Hapana huenda ni maralia imepanda
kichwani''aliongeza mwingine.
Baadaye alikuja daktari kumpa dawa
za maralia kama vipimo vilivyoonesha awali huku akishtushwa na uvimbe uliokuwa
jichoni ambao ulionekana kuongezeka kadri muda ulivyozidi kupita .Baadaye Anord
alijikuta usingizini lakini tofauti na mara nyingine usingizi ule ulimtisha na
kuanza kupiga kelele ambazo zilimwamsha mwenyewe huku akionekana kama mgonjwa
wa akili lakini kwa vipimo vya daktari vilionesha kuwa alikuwa na maralia kali
ambayo kama walivyodai ilikuwa imekimbilia kichwani.
Hali ilikuwa hivyo kila alipopata
usingizi na baada alianza kukimbia na kama si madaktari na wagonjwa wachache
waliokuwa na nguvu basi Anord angepotelea mitaani huko huku akipiga kelele
zilizokosa maana yoyote kwa kila aliyezisikia.
Madaktari walichukua uamzi wa
kumfunga kamba lakini kila alipopata usingizi alijikuta akipiga kelele huku
akitaka kukimbia jambo lililokuwa kero kwa wangonjwa wengine hatimaye
akahamishwa chumba na kupelekwa kwenye chumba cha upasuaji mdogo na sindano
kulikokuwa na kitanda kimoja ili afungiwe huko hadi asubuhi kwani muda huo
ilikuwa saa mbili na nusu usiku.
Usiku mzima kelele zilitoka kwenye
chumba alimokuwa amelalala Anord na siku iliyofuata asubuhi ulitawala ukimya
kitu kilichowaaminisha kuwa alikuwa amelala usingizi mzito.
Nesi wa zamu akiwa ametanguzana na
daktari waliusogelea mlango wa kile chumba ili wampeleke chumba kingine na kile
chumba kitumike kwa ajili ya sindano na oparesheni ndogo.Walipofungua mlango
walipogwa na butwaa kwani walichokishuhudia hawakuwa wamekitarajia.
Daktari na muuguzi wa zamu hawakuona
walichokitegemea zaidi ya kitanda kilichokuwa kimebinuliwa juu chini.Kwa haraka
wakainua kitanda kuona kama palikuwa na mtu pale chini lakini napo hawakuona
chochote zaidi ya mashuka yaliyokuwa yamechafuliwa na matapishi kuonesha kuwa
aliyekuwa amelala juu ya kile kitanda alikuwa ametapika sana kutokana na uchafu
uliokuwa umechafua zile shuka.
Uchunguzi wa kile chumba
ulithibitisha kuwa hakukuwa na mtu yeyote zaidi yao.
''Huyu mtu kweli alilala humu
ndani?" aliuliza yule daktari akiwa haamini kabisa alichokioba kwani jana
yake alimwacha yule mgonjwa mle ndani baada ya kusumbua wagonjwa wengine katika
wodi.
Yule muuguzi wa zamu hakuwa na jibu
lolote kwani hakuwepo wakati yule mgonjwa akipelekwa kule lakini alipewa tuu
maelezo wakati akiingia zamu.Japokuwa alikuwa akimfahamu Anord lakini hakujua
hadi analetwa pale alikuwa na hali gani.
''Si tumekuta mlango
umefungwa?" aliuliza yule daktari akiwa bado haamini kilichokuwa
kimetokea.
''Ndiyo huenda akawa ametoroshwa na
ndugu zake na kukimbilia kwa waganga wa jadi.
''Kama kutoroshwa basi mlango
ungevunjwa mbona mlango upo salama na tumekuta umefungwa?"
''Huenda waliomtorosha walikuwa na
funguo''
''Acha mawazo ya kipumbavu nani ana
funguo za huu mlango zaidi yangu?" Alifoka yule daktari na kuanza kuondoka
kwani alijua yule muuguzi alikuwa akianza kumwingiza kwenye uhusika wa tukio
lile kwani ndiye aliyekuwa mtu wa mwisho kutoka mle chumbani na ndiye pekee
aliyekuwa na funguo za mlango wa kile chumba.
Lakini wazo la kusema alikuwa
ametoroshwa na ndugu zake lilipuuzwa na ukweli kuwa Anord hakuwa na ndugu pale
Tabora zaidi ya Mbeya hivyo uwezekano wa kutoroshwa na ndugu ulikuwa mdogo
sana.
Taarifa za Anord kutoweka kiajabu
chumbani alikokuwa amefungiwa kupunguza kero kwa wagonjwa wenzake zilienea kama
moto wa kiangazi kwenye pori zee na kusababisha minong'ono miongoni mwa kila
aliyelisikia jambo hilo ,kuna walioamini kuwa alitoroshwa kwa ushirikiano wa
mmoja wa wauguzi waliokuwa zamu, kuna waliokuwa wakiamini kuwa Anord hakuwekwa
humo usiku uliopita na kuna wale waliona tukio lile lilihusisha nguvu za
kiimani zaidi huku wakihusisha matukio ya mgonjwa huyo wakati alipokuwa
akilalamika kupigwa kofi wakati alikuwa amejipigiza kitandani.
''Nilikuambia yule kijana ana
jini''Alinong'ona mmoja wa wagonjwa akimwambia mwenzake ambaye alionekana
kukubaliana naye kwa kulitafakari jambo hilo na kuuliza swali ambalo lilikuwa
ni kama la kukazia alichokuwa ameambiwa.
''Kwa hiyo anaweza akawa ametoroshwa
na hilo jini?"
''Ndiyo , huenda ikawa hivyo maana
wanadai mlango ulikutwa kama ulivyokuwa umeachwa''
''Labda ''Hao waliishia kuwaza hilo
.
Daktari aliyetoa wazo la kumfungia
Anord peke yake na kuondoka na funguo aliona kabisa jambo lile likimwelemea
hasa baada ya askari kadhaa kuanza kuwahoji maswali kadhaa kuhusu tukio hilo la
aina yake lililoharibu kabisa ratiba nzima ya siku ile.
''Una uhakika funguo za mlango ule
unazo wewe pekee?" lilikuwa ni swali lililomuumiza yule daktari kwani
licha ya kudai alikiwa nazo peke yake lilikuwa ni uongo ambao yeye na mtu mmoja
ambaye alitamani kutaka kujua kama alienda mahali pale.
Lile swali lilizidi kumuumiza kila
dakika licha ya askari polisi kuondoka pale na kuamuahidi kurudi muda wowote
ama kumwita pale watakapomhitaji .
''Kwa nini alirudia sana lile swali
atakuwa anajua nini?" yule daktari alijikuta akiongea peke yake badala ya
kufikiri kama alivyotaka kufanya jambo lililomfanya ageuke huku na huko kujua
kama kulikuwa na kiumbe yeyote aliyemsikia.
Hakuwako.
Mbona haijaisha
ReplyDelete