1. Kioo cha pembeni au mbavuni mwa gari huitwa SIDE MIRROR na sio SIGHT/SITE MIRROR
2. Kifaa cha umeme chenye waya mrefu wa kutokea ukutani chenye matundu kwa ya vifaa vya umeme kuwekwa huitwa EXTENSION na sio CABLE
3. Tundu la simu linalotumika kupitisha mkondo wa umeme kwenda kwenye betri huitwa CHARGING SYSTEM na sio SYSTEM CHARGE
4. Ukimpigia mtu simu then ukakata kwa lengo kwamba akupigie hapo umem-BEEP na sio umem-DIP au ume-DEEP
5. Simu za kisasa zitumiazo mfumo wa kugusa kwenye kizinza (screen) huitwa TOUCHSCREEN au 'Touch' kwa kifupi na sio SCREEN TOUCH
Ongeza na wewe mengine unayohisi jamii inayatumia kimakosa tuwekane sawa.
0 comments:
Post a Comment