ads

Thursday, 14 April 2016

WAJUE MABINGWA WA CHORUS KWENYE BONGO FLEVA


Wajue mabingwa wa chorus wa muda wote katika bongo fleva!!

Na.Steven Mwakyusa.
 Kuna wasanii wengi ambao wamekuwa wakifanya vizuri katika muziki wetu, iwe katika nyimbo zao ama kwa kushirikishwa..

Msanii anapokuwa mzuri katika nyimbo zake mara nyingi anakuwa kimbilio la wasanii wengine kutaka kufanya naye kazi, ukiachilia mbali Hiphop ambayo imekuwa ikihitaji watu wenye uwezo katika viitikio, wasanii ambao wamekuwa na uwezo mkubwa wa kucheza na viitikio wamekuwa kimbilio hata kwa wasanii wenzao ambayo wanafanya muziki wa aina moja!

Hii ni rekodi yao kuanzia kuanzia miaka ya 2000 mpaka sasa!!

1. Dully Sykes/Handsome/Mr Misifa

2. Juma Nature/Sir Nature/Kiroboto

3. Q chief/Q chilla/Savimbi

4. Lady Jd/Komando Jide

5. Alikiba/KingKiba

6. Belle 9

7. TID/Mnyama

8. G nako

9. JUX

10. Ferouz

NB; Wapo wengi pia waliofanya na wanaofanya chorus nzuri kama akina Barnaba, Banana Zorro,Linah, Benpol na Rama D lakini hao 10 ndiyo walioweza kuimba chorus nyingi na kuzifanya nyimbo husika ziwe hits!!

0 comments:

Post a Comment